Kwa mujibu wa Ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Mashia wa Afghanistan wanaoishi Norway walifanya Marasimu (Majlis) ya kuomboleza Kifo cha Kishahidi cha Hadhrat Fatima Zahra (s.a) katika Husseiniyyah ya Sayyid al-Shuhadaa (a.s) huko Mjini Oslo.
17 Novemba 2024 - 19:34
Msimbo wa Habari: 1505477